Unknown Unknown Author
Title: TAARIFA YA ASUBUHI YA LEO: BASI LA ARUSHA EXPRESS FROM A.TOWN TO MBEYA LIMEGONGANA NA LORY HUKO MKOANI SINGIDA.
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
BASI la Arusha Express limepata ajali leo maeneo ya Uwanja wa Ndege wa Kisongo jijini Arusha wakati likijaribu kulipita gari ligine na...
ajali mjini arusha

BASI la Arusha Express limepata ajali leo maeneo ya Uwanja wa Ndege wa Kisongo jijini Arusha wakati likijaribu kulipita gari ligine na kukutana na lori mbele yake.

Ili kuepesha madhara, dereva wa lori aliamua kuingia kichakani ili asigongane uso kwa uso na basi hilo. 


Katika ajali hiyo, hakuna aliyepoteza maisha isipokuwa watu ndani ya lori ndiyo wamejeruhiwa na kukimbizwa hospitali.
ajali mjini arusha
Wananchi wakishuhudia ajali hiyo.

ajali mjini arusha
Basi la Arusha Express baada ya kupata ajali.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top