Unknown Unknown Author
Title: AJALI NYINGINE YATOKEA SIMIYU NA KUUA MTU MMOJA NA NG'OMBE KADHAA....!!!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Bus la Simiyu Express linalofanya safari zake dar to Simiyu kila siku limepata ajari kwa kugonga mkokoteni unaosukumwa na ng'ombe n...
Ajali ya simiyu
Bus la Simiyu Express linalofanya safari zake dar to Simiyu kila siku limepata ajari kwa kugonga mkokoteni unaosukumwa na ng'ombe na kuua mtu mmoja na ng'ombe wote leo asubuhi mkoani Simiyu katika kijiji cha salunda.
Ajali ya simiyu
....hakuna abiria aliyepoteza maisha wala kujeruhiwa

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top