Unknown Unknown Author
Title: LIGI KUU VODACOM: OKWI AIPA RAHA SIMBA, AIFUNGA YANGA 1-0
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
MCHEZAJI MGANDA alieleta vuta nikuvute kati ya Klabu Vigogo Nchini baada ya kuhama kwenda nyingine kwa mizengwe mikubwa, Emmanuel Okwi, ...
Emmanuel Okwi
MCHEZAJI MGANDA alieleta vuta nikuvute kati ya Klabu Vigogo Nchini baada ya kuhama kwenda nyingine kwa mizengwe mikubwa, Emmanuel Okwi, Leo hii alileta raha kubwa kwa Simba baada ya kufunga Bao pekee na la ushindi walipoilaza Yanga Bao 1-0 kwenye Mechi ya Ligi  Kuu Vodacom.
Bao hilo la Okwi lilifungwa Dakika ya 53 na kuipandisha Simba hadi Nafasi ya 3 wakiwa na Pointi 26 kwa Mechi 17 na juu yao wapo Mabingwa Watetezi Azam FC wenye Pointi 30 kwa Mechi 16 na Yanga bado wapo kileleni wakiwa na Pointi 31 kwa Mechi 16.
Yanga walimaliza Mechi hii wakibaki Mtu 10 baada ya Mchezaji wao Haruna Niyonzima kutolewa nje kwa Kadi Nyekundu karibuni na mwisho.
MATOKEO- Mechi zilizopita:
Jumamosi Machi 7
Coastal Union 2 Kagera Sugar 2  
JKT Ruvu 0 Azam FC 1

LIGI KUU VODACOM:: RATIBA:
Jumanne Machi 10
Polisi Moro v Ruvu Shooting
Jumatano Machi 11
Azam v Mbeya City
JKT Ruvu v Yanga
MSIMAMO:
NA
TIMU
P
W
D
L
F
A
 
GD
PTS
1
Yanga
16
9
4
3
21
9
 
12
31
2
Azam FC
16
7
7
2
23
12
 
11
30
3
Simba
17
6
8
3
21
12
 
9
26
5
Kagera Sugar
18
6
7
5
15
15
 
0
25
5
Coastal Union
18
5
8
5
13
12
 
1
23
6
Mtibwa Sugar
16
5
7
4
17
16
 
1
22
7
Ndanda FC
18
6
4
8
17
22
 
-5
22
8
Stand United
17
5
6
6
16
18
 
-2
21
9
Ruvu Shooting
17
5
6
6
12
14
 
-2
21
10
JKT Ruvu
17
5
5
7
15
17
 
-2
20
11
Mgambo JKT
16
6
2
8
11
17
 
-6
20
12
Polisi Moro
17
4
7
6
13
16
 
-3
19
13
Mbeya City
16
4
6
6
11
15
 
-4
18
14
Tanzania Prisons
17
1
10
6
11
21
 
-10
13

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top