HABARI ZA HIVI PUNDE:: KITUO CHA TANESCO KURASINI CHAUNGUA MOTO

Lindiyetu Habari
HABARI zilizotufikia hivi punde ni kwamba kituo cha Shirika la Umeme la Tanzania (Tanesco) kilichopo eneo la Kurasini jijini Dar es Salaam kinaungua kwa moto muda huu.
Chanzo cha moto huo bado hakijafahamika mpaka sasa.

Taarifa zaidi zitawajia hivi punde

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post