Unknown Unknown Author
Title: DARAJA LA KINYEREZI LAVUNJIKA TENA JIJINI DAR ES SALAAM
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Daraja linalounganisha Kinyerezi na Majumba Sita jijini Dar es Salaam likiwa limevunjika tena baada ya kudaiwa kupita lori lililokuwa li...
Daraja la Kinyerezi
Daraja linalounganisha Kinyerezi na Majumba Sita jijini Dar es Salaam likiwa limevunjika tena baada ya kudaiwa kupita lori lililokuwa limebeba zege. Daraja hilo lilivunjika pia Juni mwaka jana baada ya lori lililokuwa limebeba kontena kupita eneo hilo.
Daraja la Kinyerezi

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top