

Kutoka kushoto ni mgeni mwalikwa,Rais wa Sudani Kusini, Salva Kiir, Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza, Rais Jakaya Kikwete (Tanzania), Rais Uhuru Kenyatta (Kenya) Rais Yoweri Museveni (Uganda) Rais Paul Kagame (Rwanda) na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Dk Richard Sezibera wakiwa kwenye ukumbi wa mikutano kwenye mkutano wa kawaida wa 16 wa Wakuu wa nchi za Afrika Mashariki uliofanyika leo. 20/2/2015.

Rais Jakaya Kikwete (kushoto), akipokea bendera ya Afrika Mashariki (EAC) kutoka kwa Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta ikiwa ni ishara ya kumkabidhi Uenyekiti wa EAC kwenye mkutano wa kawaida wa 16 wa Wakuu wa nchi za Afrika Mashariki uliofanyika leo. 20/2/2015.
Tags
HABARI ZA KITAIFA