PICHA KUTOKA AFRIKA KUSINI | SHETA, KCEE, NAHREEL, JOH MAKINI WAPO, TEGEMEA KITU KIZURI SOON
byUnknown-
0
Wasanii Joh Makini, G Nako, Jux, V Money, Sheta na Nahreel wako nchini Afrika Kusini wakufanya shughuli tofauti za muziki wao. Joh Makini alionekana Studio na Rapa KO na kunauwezekano wa collabo kufanyika ingawa alisema ni mapema sana kuongelea.
Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...