Unknown Unknown Author
Title: PAMOJA NA MOSE IYOBO KUINADI MIMBA YA AUNT EZEKIEL MTANDAONI KUMBE SI YAKE, HUYU HAPA MWENYE MZIGO....
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Wakati tetesi zikizagaa kila kona ya mji , kuhusu ujauzito wa star wa movie ya ' Young Billionaire' , Aunty Ezekiel kuwa amenasa...
Aunty Ezekiel na Moze Iyobo
Wakati tetesi zikizagaa kila kona ya mji , kuhusu ujauzito wa star wa movie ya 'Young Billionaire', Aunty Ezekiel kuwa amenasa ujauzito wa dancer wa mwanamuziki maarufu nchini, Diamond Platnums aitwaye Moze Iyobo
Licha ya dancer huyo kuinadi mimba ya mpenzi wake huyo mitandaoni , Aunty ameibuka na kudai ujauzito alionao sio wa dancer huyo....kama watu wanavyojua bali ni ya mtu mwingine ambaye kwa mujibu wa Aunty amesema atajulikana soon baada ya kichanga hiko kilichopo tumboni kuzaliwa.

MAHOJIANO NA PAPARAZI WETU:;
Paparazi: Mambo vipi? Kwema lakini Aunt? Ehne leta maneno, mna mipango gani na baba mtoto mtarajiwa, Iyobo?

Aunt:Hahaha mimi mzima! Kuhusu Iyobo, mh! Kanipa mimba! Si kweli, nitakapojifungua nitamtaja baba wa mtoto wangu.

Paparazi: Mbona Iyobo amekuwa akijinadi kwenye vyombo vya habari kuwa mzigo ulionao ni wake?

Aunt: Mh! Jibu langu ni hilo nililokupa.

PAPARAZI HAKUISHIA HAPO TU ALIWEZA KUPITA PITA MTANDAONI NA KUWEZA KUINASA PICHA YA WAWILI HAO WAKIWA KATIKA POZI MATATA KAMA WAONEKANAVYO HAPO CHINI
Aunty Ezekiel na Moze Iyobo
JE NI MOVIE INAENDELEA AU VIPI? AKILI KUMKICHWA...!!!

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top