Unknown Unknown Author
Title: KAJALA ATOA YAMOYONI KUHUSU SUALA LA KUHARIBIKA KWA MWANAWE PAULA. SOMA HAPA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Kajala ameshindwa Kujizuia na kuamua kuwashukia wale wote wanaosema anamwaribu mtoto wake kwa Mavazi anayovaa...Soma alichoandika hapa chin...
Kajala ameshindwa Kujizuia na kuamua kuwashukia wale wote wanaosema anamwaribu mtoto wake kwa Mavazi anayovaa...Soma alichoandika hapa chini:
Kajala Masanja"Naomba niwaulize binadamu alie kwambia mimi nikivaa hivi nitamuhalibu mtoto nani ? acheni akili za kijinga kwasababu wengi wetu tunajua kabisa mtoto hawi na tabia mbaya kwasababu anamuona mama yake kavaa dira au tumbo wazi sisi zamani wazazi wetu walikuwa wanavaa hivi lakini mbona tuliwasumbua mnaboa na kukera pia kama mtoto wangu atahalibika kisa kaniona mimi nimevaa tumbo wazi utakuwa ni umbumbu wake na ujinga wake lakini sidhani kama mavazi yanamualibu mtoto naisi nimalezi peke yake kama nakuboa usipite hapa tafadhali".
Kajala MasanjaKajala aliandika na kutupia picha hiyo juu mtandaoni. 

NA HIZI NI BAADHI YA COMMENTS ZA FOLLOWERS WAKE
Post
Post
Je Wewe Unamaoni Gani?

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top