Unknown Unknown Author
Title: KUFUATIA KUUMWA KWA MUIGIZAJI KAJALA MASANJA, STEVE NYERERE ATOA POLE
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Leo kupitia Mtandao wa Kijamii, mwigizaji na mwenyetiki wa Bongo Movies aliejiuzulu, Steve Nyerere amempa pole na kumtakia afya njema m...
Kajala Masanja
Leo kupitia Mtandao wa Kijamii, mwigizaji na mwenyetiki wa Bongo Movies aliejiuzulu, Steve Nyerere amempa pole na kumtakia afya njema mwigizaji Kajala Masanja ambae anaumwa tokea majuzi.

"Napenda kukupa pole kwa kuumwa Kajala tupo pamoja naimani mungu atakusaidia na utapona na kuendelea na majukumu kama mama pole kajala pole masanjaaaaa pole sana" Steve aliandika mara baada ya kuweka picha ya kajala.

Nasi pia tunaungana na wadau wote pamoja na mashabiki wote kukupa pole na kukuombea upone haraka.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top