Unknown Unknown Author
Title: JOTI Amvisha Pete Ya Uchumba Mpenzi Wake Wa Siku Nyingi!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Kwa mujibuwa mtandao wa JF, Mwigizaji wa vichekesho Lucas Mhuvile, almaarufu kama Joti, anayepiga kazi kwenye kampuni ya Orijino Kom...
Joti
Kwa mujibuwa mtandao wa JF, Mwigizaji wa vichekesho Lucas Mhuvile, almaarufu kama Joti, anayepiga kazi kwenye kampuni ya Orijino Komedi, amemvisha pete mpenzi wake wa siku nyingi, ikiwa ni ishara na dalili njema kwamba safari ya kuelekea kwenye taasisi muhimu zaidi duniani ya NDOA imewadia..


Akiwa na swahiba wake wa siku nyingi, Mr. Mjuni Sylvatory a.k.a Mpoki, Joti alionekana mwenye furaha muda wote kwa kutimiza tendo hilo huku akiwa amealika watu wachache sana kuhudhuria tukio hilo.


Mtandao huu bado haijazithibitisha taarifa hizi.

Kama ni kweli, tunampongeza sana na kumtakia kila la kheri yeye pamoja na mwenza wake

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top