DOWNLOAD BRAND NEW AUDIO FROM NGWEA FEAT MIRROR–ALMA

clip_image002Moja kati ya kazi alizowahi kuzifanya marehem Albert Mangwea na hazijatoka ni pamoja na hii Brand new "ALMA" akiwa na Mirror, iliyotambulishwa leo hii na mama yake mzazi kupitia xxl

hakika mziki wake utaishi miaka na miaka..R.I.P

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post