Unknown Unknown Author
Title: E FM 93.7 YAWEKA REKODI MPYA KAMA KITUO CHA REDIO NCHINI, BOFYA HAPA KUJUA NI REKODI GANI....!!!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Kituo cha radio cha E FM 93.7 leo kimezindua kipindi kipya kabisa cha Sports Headquarter (Makao Makuu ya habari za Michezo) kikiwa cha ...
Maulid Baraka Kitenge na Ibrahim Masoud Maestro
Kituo cha radio cha E FM 93.7 leo kimezindua kipindi kipya kabisa cha Sports Headquarter (Makao Makuu ya habari za Michezo) kikiwa cha kwanza katika historia kuruka kwa masaa matatu kuzungumzia michezo tena asubuhi saa tatu mpaka saa sita mchana. 

Pichani juu ni Watangazaji nguli wa Michezo nchini Maulid Baraka Kitenge na Ibrahim Masoud Maestro wakikiendesha kipindi hicho cha masaa matatu leo.
Maulid Baraka Kitenge na Ibrahim Masoud Maestro
Kitakuwa kinaruka Jumatatu mpaka Ijumaa saa tatu Asubuhi mpaka saa sita mchana. Hii ni historia kabisa katika radio Stations za Tanzania kipindi cha michezo kuwa cha masaa matatu tena kuanzia asubuhi mpaka mchana.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top