Unknown Unknown Author
Title: DIAMOND PLATNUMZ (@diamondplatnumz) AKUSANYA UMATI WA WATU MJINI SONGEA KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 38 YA CCM
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
D iamondplatnumz akipongezwa na chipukizi wa UVCCM baada ya kutumbuiza katika sherehe za miaka 38 ya ccm Mwenyekiti wa CCM, Rais...
Diamondplatnumz akipongezwa na chipukizi wa UVCCM baada ya kutumbuiza katika sherehe za miaka 38 ya ccm
Mwenyekiti wa CCM, Rais Kikwete akilakiwa na maelfu ya wananchi mjini Songea kwenye sherehe za miaka 38 CCM
Mwenyekiti wa CCM,Rais Kikwete akikagua gwaride la heshima lililoandaliwa na UVCCM ktk kilele miaka 38 ya CCM
M/kiti wa CCM,Rais Kikwete akihutubia maelfu ya wanachama wa CCM katika kilele miaka 38 ya CCM
Kikosi cha makomandoo wa Chipukizi wa UVCCM wakitoa heshima zao mbele ya Mwenyekiti wa CCM.
Vikosi vya Chipukizi wa UVCCM vikipita kutoa heshima mbele ya Mwenyekiti wa CCM Dr Jakaya Mrisho Kikwete.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top