Unknown Unknown Author
Title: #FILAM :: FUATILIA FILAM YA SIRI YA MTUNGI MSIMU WA PILI HAPA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Cheche anatakiwa kufunga kazi yake pale mtu asie julikana, mwanamke wa ajabu Shalimar, anakuja na kudai kua yeye ndio mridhi na mmiliki ...
siri ya mtungi msimu wa pili
Cheche anatakiwa kufunga kazi yake pale mtu asie julikana, mwanamke wa ajabu Shalimar, anakuja na kudai kua yeye ndio mridhi na mmiliki wa studio ya picha ya Mtungi. Utaadhani kama Cheche hana matatizo ya kutosha kazini kwake, Cheusi anamaswali mengi kuhusu mahusiano yake ya nje. Kwenye makazi ya Mzee Kizito na wake wake wote, fungate la Nusura linaharibiwa baada ya Farida kugundua ujauzito wa Nusura. Amegungundua kua ujauzito wa Nusura waweza kua sio wa Mzee Kizito. Nusura hawezi fanya maamuzi na mumewe, hivyo anakimbilia kwa rafiki yake wa siku nyingi Julietta kwa ajili ya msaada lakini kuta zinazidi kua ndefu mbele yake.

Fuatilia Hapa:

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top