Unknown Unknown Author
Title: MSANII HUYU AFIWA NA BABA YAKE MZAZI, MAZISHI LEO HII KILOSA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Msanii wa vichekesho, Kitale jana amefiwa na baba yake mzazi na mazishi yatafanyika leo Kilosa mkoani Morogoro Akizungumza, Kitale ame...
kitale
Msanii wa vichekesho, Kitale jana amefiwa na baba yake mzazi na mazishi yatafanyika leo Kilosa mkoani Morogoro

Akizungumza, Kitale amesema kuwa baba yake amepatwa na umauti jana baada ya kuugua kwa muda mrefu. “Tunashuru Mungu leo saa 7 mchana tunazika pale Kilosa, baba alikuwa anaumwa kwa muda mrefu,” alisema Kitale..

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top