KWELI KILA MTU NI CHIZI LAKINI TUNAZIDIANA..!!: ASHEREHEKEA BIRTHDAY AKIWA KAVALIA PAMPERS

Faiza Ally Birthday
Wanasema ukishangaa ya Musa utayaona ya firauni. Katika hali isiyo ya kawaida, mchumba wa zamani wa mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi aka Sugu, Faiza Ally, amesherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kuvaa diapers!!

Sherehe hiyo ilifanyika juzi kwenye hoteli ya Seacliff na kuhudhuriwa na wageni kibao. Jionee mwenyewe picha zake!!
Faiza Ally Birthday

Faiza Ally Birthday

Faiza Ally Birthday

Faiza Ally Birthday

Faiza Ally Birthday

Faiza Ally Birthday

Faiza Ally Birthday

Faiza Ally Birthday

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post