Unknown Unknown Author
Title: KOURTNEY KARDASHIAN "DADA WA KIM KARDASHIAN" APATA MTOTO WA TATU
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Dada wa Kim Kardashia ‘Kourtney Kardashian’ na mzazi mwenzake Scott Disick wamepata mtoto wao wa tatu jumapili ya decemba 14 kwa mujibu ...
Kourtney Kardashian
Dada wa Kim Kardashia ‘Kourtney Kardashian’ na mzazi mwenzake Scott Disick wamepata mtoto wao wa tatu jumapili ya decemba 14 kwa mujibu wa kituo cha E! . Wawili hawa tayari wana watoto wawili ambao ni Penelope mwenye miaka 2 na Mason mwenye miaka 5.
Kourtney Kardashian

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top