Unknown Unknown Author
Title: IDRIS WA BBA AWEKA WAZI MAHUSIANO YAKE NA ELIZABETH MICHEAL "LULU"
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Na. Imelda Mtema KWA mara ya kwanza baada ya kutua Bongo, Mshindi wa Shindano la Big Brother Hotshort (2014), Idris Sultan amemfungukia m...
Lulu Elizabeth Micheal
Na. Imelda MtemaKWA mara ya kwanza baada ya kutua Bongo, Mshindi wa Shindano la Big Brother Hotshort (2014), Idris Sultan amemfungukia mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ na kudai ni rafiki yake wa karibu.
Idris Sultan
Kabla mshindi huyo hajakanyaga Bongo, Lulu alishambuliwa mitandaoni baada ya kujinadi kuwa na urafiki wa karibu na Idris lakini kwa kauli hiyo, imeonesha dhahiri wawili hao ni marafiki wa kweli tofauti na mitazamo ya wadau mitandaoni.
“Lulu ni rafiki yangu wa muda mrefu, hakuna kingine zaidi ya urafiki. Tutaendelea kuwa marafiki hata baada ya ushindi huu,” alisema Idris, juzi alipokuwa kwenye mkutano wa waandishi wa habari kwenye Hoteli ya Hyatt Regency Dar es Salaam (The Kilimanjaro)

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top