DIAMOND PLATNUMZ (@diamondplatnumz) AITETEMESHA UGANDA, CHEKI MAPOKEZI YAKE

Diamond platnumz nchini Uganda
Diamond akiwa sambamba na Mama yake Mzazi akiwa katika Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Mwalimu Julias Kambarage Nyerere, Jijini Dar es Salaam. Safarini Nchini Uganda tayari kwa Show yake ya Hapo Kesho iliyopewa jina la #Zari_AllWhite_CirocParty 
Diamond platnumz nchini Uganda
Diamondi Platnumz akiwa na Meneja wake ajulikanae kwa jina la @Sk_ent safarini Nchini Uganda tayari kwa Show ya #Zari_AllWhite_CirocParty #Guvnor #Kampala hapo Kesho. 
Diamond platnumz nchini Uganda
Diamond Platnumz Akiwa na Mwenyeji wake Zari the Boss Lady huku akiwa amezungukwa na waandish wa habari wengi wa nchini Uganda wakifanya yao....
Diamond platnumz nchini Uganda

Diamond platnumz nchini Uganda

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post