DIAMOND PLATNUMZ AZINADI TUZO ZAKE ALIZOWAHI KUSHINDA, ZICHEKI HAPA ZOTE

Diamond Platnumz
Msanii Diamond Platnumz kupitia akaunti yake ya Facebook amepost picha ya Tuzo zake alizowahi kushinda toka ameanza muziki wake ambayo kwa sasa unampa mafanikio makubwa sana barani Afrika na kufikia mbali zaid ameingia kwenye Tuzo kubwa Afrika za channel O na kufanikiwa kunyakuwa Tuzo tatu hii ndio list ya tuzo za Dimond alizoshinda hizi hapa chini...
Diamond Platnumz TUZO

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post