Unknown Unknown Author
Title: CHIDI BENZ AINGILIA KATI BEEF KATI YA DIAMOND NA DAVIDO, CHEKI HII HAPA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Rapper Chidi Benz amejitosa kuzungumzia mkwaruzano uliotokea kati ya Diamond Platnumz na msanii wa Nigeria Davido . Hiki ndicho alichoand...
Rapper Chidi Benz amejitosa kuzungumzia mkwaruzano uliotokea kati ya Diamond Platnumz na msanii wa Nigeria Davido. Hiki ndicho alichoandika kwenye ukurasa wake wa Facebook.
Chidi Benzi
"Mimi binafsi ningeweza kumwambia mdogo wangu Dimooond aseme haya mambo yapite na Davido sorry my brotha,watu wote tuacheni marumbano na isiwe mapema hivi tunashindana..wote Africa Lugha zimechanganyana plus wajuaji wengi kazi yao chumvi tu hawajui haswa matatizo yanatuharibu vipi binafsi..msishadadie tu ilimradi. eiza kuna projekt!
Ye akijaa kichwa afatishe watu na watu hao hao ndo husema mavi yaale siku akijinyea atakua anakosea, ikibidi anamwambia timba tandale tuuchune vijiti nini plus gambe na wana au yeye anatimba kule mapicha nini hlf zile Africa tuko pamoja za kumwaga, yaishe asiyakuuuze. bado anahitaji kwenda na ashinde tena.
Kabisa fundi..watu wanatengeneza story wanahisi wataonekana Nigeria na dogo atakua anaenda na kina tale tu na sijui nani,watu wanaweza panga story ya mapanga,then wot?kwani yeye Diamond hawezi kusema naomba yaishe jamani na hakuna baya hivyo. ajitengenezee basi kama anavyotengeneza siku zoote".

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top