Unknown Unknown Author
Title: CEO WA FACEBOOK MARK ZUCKERBERG AZUNGUMZIA BUTTON YA " DisLike" KUWEKWA FACEBOOK
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
CEO Wa Facebook Mark Zuckerberg ametangaza rasmi kuwa kuna mchakato wa kuweka ‘Kitufe Ya Kutopenda‘ [Dislike] kwenye mtandao huu wa kij...
DisLike on facebook
CEO Wa Facebook Mark Zuckerberg ametangaza rasmi kuwa kuna mchakato wa kuweka ‘Kitufe Ya Kutopenda‘ [Dislike] kwenye mtandao huu wa kijamii wa facebook.

Mark anasema kunahitaji la kufanya hivyo ili kuwapa nafasi watu kuonyesha hisia zao zaidi kuhusu post fulani. Kitufe cha [Like] kinaruhusu mtu kuonyesha hisia chanya tu kuhusu post ya mtu.
DisLike on facebook

Mark anasema “watu huweka vitu vya kuhuzunika na masikitiko ila sababu hakuna Kitufe cha kuonyesha masikitiko watu hubonyeza [Like]

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top