Unknown Unknown Author
Title: KIVUKO KIPYA CHA DAR-BAGAMOYO CHAPOKELEWA NA WAZIRI MAGUFULI
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Kivuko kipya cha MV Dar es Salaam-Bagamoyo. Baadhi ya wafanyakazi wa bandari wakishuhudia kivuko hicho. Magufuli na Sadick ...
Kivuko kipya
Kivuko kipya cha MV Dar es Salaam-Bagamoyo.
Kivuko kipya
Baadhi ya wafanyakazi wa bandari wakishuhudia kivuko hicho.
Kivuko kipya
Magufuli na Sadick wakiwa ndani ya kivuko.
Kivuko kipya
Mkurugenzi wa Ukodishaji Mitambo na Huduma za Vivuko (TEMESA) Japhet Massele, akitoa ufafanuzi kuhusu kivuko hicho.
Kivuko kipya
Waziri Magufuli akionyeshwa kamera na TV zilizomo ndani ya kivuko.
Kivuko kipya
Sehemu ya viti vilivyomo ndani ya kivuko.
Kivuko kipya
Magufuli akikagua moja ya vifaa vya uokoaji.
Kivuko kipya
Muonekana wa kivuko hiki cha kisasa.
Kivuko kipya
Sehemu ya ndani ya kivuko inavyoonekana.
Kivuko kipya
... Akiwa na wadau mbalimbali.

KIVUKO kipya kinachotegemea kufanya safari kati ya Jiji la Dar es Salaam na Bagamoyo kimepokelea leo na Waziri wa Ujenzi,John Magufuli katika Bandari ya Dar es Salaam.Kivuko hicho mabacho kitakuwa kikipita katika vituo saba kati ya miji hiyo mwili, kimefungwa vyombo vya kuongozea vya kisasa (Navigational Equipment) vikiwemo GPS Compass, Automatic Identification System (AIS), Radar, Echo Sounder, CCTV Cameras na kina vyombo vya kutosha vya kuokolea watu kama ‘life jackets’, ‘life bouys’ na ‘life rafts’.Akizungumza na GPL, Waziri Magufuli alisema” “Kuanza kwa kivuko hiki kutasaidia kwa kiasi kupunguza foleni kwa wakazi wa jijini la Dar es Salaam, kwani kina uwezo wa kubeba abiria 300 kwa kukaa.
>>GPL

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top