Unknown Unknown Author
Title: KIPANDE KIDOGO KILICHOBAKIA KATIKA BARABARA YA NDUNDU-SOMANGA KUKAMILIKA MWEZI HUU
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Sehemu ya barabara ya Ndundu-Somanga ikiwa imeanza kuwekwa lami kwenye kipande hicho kilichobakia. Baadhi ya sehemu ya barabara hiyo...
nundu - somangaSehemu ya barabara ya Ndundu-Somanga ikiwa imeanza kuwekwa lami kwenye kipande hicho kilichobakia.
nundu - somanga
Baadhi ya sehemu ya barabara hiyo ikiwa imeweka lami kama inavyoonekana.
nundu - somangaNaibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi Mhandisi Gerson Lwenge wapili kutoka kulia akipewa maelezo kutoka kwa Mhandisi Mkazi Agarton Mwenda kuhusu kazi zinazoendelea kwenye barabara hiyo ya Ndundu-Somanga inayotarajiwa kukamilika mwezi huu wa 11.
nundu - somangaKazi za ujenzi wa barabara hiyo ukiendelea kwa kasi kubwa.
nundu - somanga
Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi Mhandisi Gerson Lwenge akiendelea na ukaguzi wa kazi za uchanganyaji wa cement na udongo katika kipande hicho kidogo cha barabara.
nundu - somanga
Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi Mhandisi Gerson Lwenge akifanya kazi ya kuchanganya cementi na udongo katika baadhi ya maeneo katika kipande hicho cha barabara.

Picha zote kwa Hisani ya Kitengo cha Mawasiliano Serikalini-Wizara ya Ujenzi.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top