Unknown Unknown Author
Title: MSANII MWINGINE WA FILAM BONGO AFARIKI DUNIA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Kwa mujib wa william Mtitu Msanii wa Sinema za Comed aliekuwa anatambulika kwa jina la Sheri Magari Amefariki leo mjini morogoro kwa tati...
Kwa mujib wa william Mtitu Msanii wa Sinema za Comed aliekuwa anatambulika kwa jina la Sheri Magari Amefariki leo mjini morogoro kwa tatizo la Moyo. William Mtitu amesema wamesikitishwa na tukio hlo kwan marehemu alikuwa n msanii aliekuwa anafanya vizuri katika tasnia hiyo ya bongo movie.
Mazishi yanatarajia kufanyika mkoani morogoro siku ya kesho.
Lindiyetu.com inaungana na familia katika kipindi hiki kigumu cha majonzi mungu awape nguvu wanafamilia na amrehemu marehemu sheri.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top