Unknown Unknown Author
Title: VIDEO YA MAROON 5 "ANIMALS" YASHAMBULIWA NA WATETEZI WA HAKI ZA WANAWAKE, JIONEE MWENYEWE HAPA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Kundi la Maroon 5 lipo kwenye kiti moto kutokana na video yake mpya ya wimbo ‘Animals’. Hii ni moja ya scene kwenye video hiyo Vid...
Kundi la Maroon 5 lipo kwenye kiti moto kutokana na video yake mpya ya wimbo ‘Animals’.

Hii ni moja ya scene kwenye video hiyo
Video hiyo mpya chini ya kiongozi wa bendi hiyo, Adam Levine inadaiwa kuonesha ukatili wa kimapenzi dhidi ya wanawake licha ya muimbaji huyo kumtumia mke wake Behati Prinsloo kama model. 
Itazame hapa chini.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top