Unknown Unknown Author
Title: FACEBOOK KUANZA KUONYESHA FILAMU FUPI FUPI, ITAANZA NA "TWILIGHT"
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Filamu maarufu ya, vmpires, Twilight inatarajia kurejea kwenye mfumo wa filamu fupi tano zitakazooneshwa kupitia mtandao wa Facebook. Wao...
Filamu maarufu ya, vmpires, Twilight inatarajia kurejea kwenye mfumo wa filamu fupi tano zitakazooneshwa kupitia mtandao wa Facebook.
Twilight
Waongozaji watano wa kike watachaguliwa kutengeneza filamu zao fupi zinazotokana na kitabu cha “The Storytellers – New Creative Voices of The Twilight Saga”.

Waongozaji hao watafundishwa na kundi la wataalam akiwemo muigizaji wa “Twilight” Kristen Stewart na mwandishi wa vitabu hivyo, Stephenie Meyer. Filamu hizo ni sehemu ya mradi Women in Film, Lionsgate na Facebook unaolenga kuwapa uwezo wanawake kutumia ubinifu wao.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top