Unknown Unknown Author
Title: VIDEO:: CHANNEL TEN YAJA NA KIPINDI KIPYA KABISA..."BAMPA KWA BAMPA" CHEKI HAPA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Kipindi kipya cha Televisheni kinachotoa fursa kwa Watanzania waliopo katika foleni za barabarani kutoa maoni na kujadili mustakabali n...
Bampa Kwa Bampa
Kipindi kipya cha Televisheni kinachotoa fursa kwa Watanzania waliopo katika foleni za barabarani kutoa maoni na kujadili mustakabali na maendeleo ya Taifa.........Ni muda ambao wengi tunaelekea nyumbani, baada ya kutoka katika pirikapirika na shughuli za kujiongezea kipato. Pamoja na changamoto mbalimbali tunazokutana nazo, lakini kwa sasa tunajikuta katika changamoto nyingine kubwa .... FOLENI ! 

Hosted by # Khalid Ali Gangana.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top