Unknown Unknown Author
Title: MAANDAMANO BAWACHA: POLISI WAVAMIA OFISI ZA CHADEMA KINONDONI, HALI SI SHWARI
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
MAANDAMANO BAWACHA: Polisi wakiwa kwenye magari madogo 5, gari 1 la maji ya kuwasha wafika na kuzingira Ofisi za Chadema-Bawacha Kinondoni ...
MAANDAMANO BAWACHA: Polisi wakiwa kwenye magari madogo 5, gari 1 la maji ya kuwasha wafika na kuzingira Ofisi za Chadema-Bawacha Kinondoni asubuhi hii kuzuia maandamano.
lindiyetu blog news
Polisi wamtia mbaroni Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha), Halima Mdee na wenzake sita na kuondoka nao; hali bado si shwari.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top