Unknown Unknown Author
Title: SHILOLE AONESHA MAHABA NIUE JUKWAANI.. OMMY DIMPOZ ATOA ZAWADI YA CHENI YA ZAHABU KWA MASHABIKI, MWANA FA, NAY WAMITEGO, FID Q NA NICK WA PILI WATAWALA JUKWAA LA FIESTA MTWARA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Shamra Shamra zilianza Kuanzia Majira ya Saa 1:00PM saa za Afrika Mashariki kwa Jukwaa la Serengeti Fiesta 2014, Kufunguliwa na wasanii w...
serengeti fiesta Mtwara
Shamra Shamra zilianza Kuanzia Majira ya Saa 1:00PM saa za Afrika Mashariki kwa Jukwaa la Serengeti Fiesta 2014, Kufunguliwa na wasanii wazawa wa Mkoa wa Mtwara ambao waliweza kuonyesha uwezo Mkubwa na Kutawala Steji Huku Shangwe nyingi kutoka kwa Mashabiki wao zikipigwa.

Wasanii waalikwa 11 wa Bongo Fleva waliweza Kutoa Burudani ya Nguvu kwa wakazi wa Mtwara kama Ilivyotarajiwa kuwa hiyo ni Steji ya Mwisho kwa Mwaka huu kwa wasanii hao Kutumbuiza kupitia Bia ya Serengeti. Hivyo waliweza kuwaonyesha mashabiki Kile kilichowafanya wao kuwa Wafunga pazia la Burudani kwa Msimu wa 2014, Hakika waliitendea Haki Jukwaa hilo.

Hebu tazama Picha Kadhaa za wasanii hao wakiwa Stejini Pale Ndangwanda Stadium, Mtwara
serengeti fiesta MtwaraYoung Dar es Salaam (Young D) akiwa kwenye steji ya Serengeti Fiesta 2014, Mtwara Nangwanda Stadium
serengeti fiesta Mtwara
Young Killer Msodoki akitoa Burudani kwenye steji ya Serengeti Fiesta 2014, Nangwanda Stadium Mtwara
serengeti fiesta MtwaraShilole Kiuno (shishi baby) akitoa Burudani kwenye steji ya Serengeti Fiesta 2014, Nangwanda Stadium, Mtwara
serengeti fiesta Mtwara
Mashabiki wakifurahia Burudani kwenye steji ya Serengeti Fiesta 2014, Nangwanda Stadium, Mtwara
serengeti fiesta Mtwara
Hapana Chezea Shilole Kiuno, kwenye steji ya Serengeti Fiesta 2014, Nangwanda Stadium Mtwara
serengeti fiesta Mtwara
MAHABA NIUE...!!!:: Nuh Mziwanda akitoa Burudani kwenye steji ya Serengeti Fiesta 2014 Sambamba na Baby wake Shilole, Nangwanda Stadium Mtwara
serengeti fiesta Mtwara
Ommy Dimpoz (PozKwaPozi) akiwapa Burudani wakazi wa Mtwara katika Jukwaa la Serengeti Fiesta 2014, Nangwanda Stadium
serengeti fiesta Mtwara
Ommy Dimpoz (PozKwaPozi) aliweza kuwazawadia Moja ya Cheni yake ionekanayo hapo pichani Mashabiki wake wakati wa alipotoa Burudani katika Jukwaa la Serengeti Fiesta 2014, Nangwanda Stadium
serengeti fiesta Mtwara
Mashabiki wa Ommy Dimpoz wakiinua Mikono Kupokea Cheni iliyorushwa na Msanii huyo ikiwa kama Zawadi yake kwao.....
serengeti fiesta Mtwara
Muite Prince Dully Sykes Mtoto wa Kariakoo....Nae alishambulia jukwaa la Serengeti Fiesta 2014, Nangwanda Stadium na Kufanya Umati uliofurika Uwanjani hapo Kuripuka kwa Shangwe kubwa.
serengeti fiesta Mtwara
Umati ukimshangilia Prince Dully Sykes alipokuwa akitoa Burudani Ndani ya Jukwaa la Serengeti Fiesta 2014, Nangwanda Stadium.
serengeti fiesta Mtwara
Prince Dully Sykes akiwapa Burudani wakazi wa Mtwara katika Jukwaa la Serengeti Fiesta 2014, Nangwanda Stadium
serengeti fiesta Mtwara
Anaitwa Nick wa Pili kutoka WEUSI aliweza kuwakonga nyoyo Mashabiki wapenda Hip Hop waliojitokeza katika Tamasha la Serengeti Fiesta Mkoani Mtwara ndani ya Uwanja wa Nangwanda
serengeti fiesta Mtwara
Nick wa Pili akitoa Burudani katika Jukwaa la Serengeti fiesta 2014, Nangwanda Stadium Mtwara

serengeti fiesta Mtwara
Kala Pina na Man Su Li waliweza kukinukisha Pia katika Jukwaa la Serengeti Fiesta 2014, Nangwanda Stadium, Mtwara
serengeti fiesta Mtwara
Nay True Boy akifanya yake Ndani ya Nangwanda Stadium katika Jukwaa la Fiesta 2014
serengeti fiesta Mtwara
Ni Mwendo wa Shangwe... Ndani ya Nangwanda Stadium katika Tamasha la Fiesta 2014, Nay akiwa Kazini ni Hatari Tupu
serengeti fiesta Mtwara
Unaweza Kumwita Binam au Mwana Falsafa lakini yeye Mwenyewe anapenda umuite MWANA FA....akiwapa Burudani wakazi wa Mtwara katika Tamasha la Serengeti Fiesta katika Uwanja wa Nangwanda Octoba 26, 2014
serengeti fiesta Mtwara
MWANA FA....akiwapa Burudani wakazi wa Mtwara katika Tamasha la Serengeti Fiesta katika Uwanja wa Nangwanda Octoba 26, 2014
serengeti fiesta Mtwara
Hakika alipewa Heshima Kubwa sana Mkali wa Hip Hop Nchini unaweza kumwita Fid Q Ngosha the Don, aliweza kuliteka Jukwaa la Serengeti Fiesta 2014 Mkoani Mtwara na yeye Ndio aliye funga Pazia la Burudani kwa Mwaka huu.
serengeti fiesta Mtwara
Mashabiki wakitoa sapoti ya Kutosha kwa Mwana Hip Hop Mkali hapa Bongo Ngosha The Don "Fid Q"
serengeti fiesta Mtwara
Show Nzima ilisimamiwa na Dj matata Kutoka Clouds Fm unaweza Kumuita DJ BULLA "on the one and two"



About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top