Unknown Unknown Author
Title: DJ FETY NA MUSSA HUSEIN WAONGOZA AMSHA AMSHA ZA SERENGETI FIESTA MTWARA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Jumapili hii Octoba 26, 2014 Ndani ya Nangwanda Stadium Wakazi wa Mtwara wataweza kushuhudia Wasanii Kadha wa Bongo Fleva wataoweza kupa...
Amsha amsha ya serengeti fiesta Mtwara
Jumapili hii Octoba 26, 2014 Ndani ya Nangwanda Stadium Wakazi wa Mtwara wataweza kushuhudia Wasanii Kadha wa Bongo Fleva wataoweza kupanda kwenye Jukwaa la Serengeti Fiesta 2014 - Mtwara wakitumbiza. Hivi sasa Kinacho endelea ni Shamra Shamra za Serengeti Fiesta Zikiongozwa na Ma Presenter wa Radio ya Watu Clouds Fm ambao ni Dj Fetty wa XXL na Mussa Hussein wa JAHAZI.
Amsha amsha ya serengeti fiesta Mtwara
Dj Fetty akiwa ndani ya Studio za Safari Radio Mtwara akielezea jinsi walivyojiandaa katika show hiyo ya Serengeti Fiesta 2014, Mtwara.

Hizi ni Baadhi ya Picha ndani ya Mitaa ya Manispaa ya Mtwara Mikindani iliyoweza kutembelewa na Dj Fetty na Mussa Hussein.
Amsha amsha ya serengeti fiesta Mtwara
Presenter wa JAHAZI kutoka Clouds FM Mussa Hussein akifanya Mahojiano na wanachuo wa chuo cha Utumushi wa Umma Tawi la Mtwara TPSC maeneo ya COCO BEACH 

Amsha amsha ya serengeti fiesta MtwaraPresenter wa Kipindi cha XXL kutoka Clouds FM DJ FETTY akifanya Mahojiano na wananchi wa maeneo ya Magomeni Mkanaledi Ndani ya Manispaa ya Mtwara Mikindani kuhusiana na Show ya Serengeti Fiesta 2014 Mtwara itafanyika Octoba 26, 2014 katika uwanja wa Nangwanda
Amsha amsha ya serengeti fiesta Mtwara
Presenter wa Kipindi cha XXL kutoka Clouds FM DJ FETTY akifanya Mahojiano na Kijana wa Mtwara ambaye alizungumzia Show ya Serengeti fiesta maeneo ya Magomeni Mkanaledi Ndani ya Manispaa ya Mtwara Mikindani kuhusiana na Show ya Serengeti Fiesta 2014 Mtwara itafanyika Octoba 26, 2014 katika uwanja wa Nangwanda. 
Amsha amsha ya serengeti fiesta Mtwara
Presenter wa Kipindi cha XXL kutoka Clouds FM DJ FETTY akifanya Mahojiano na Kijana wa Mtwara ambaye alizungumzia Show ya Serengeti fiesta maeneo ya Magomeni Mkanaledi Ndani ya Manispaa ya Mtwara Mikindani kuhusiana na Show ya Serengeti Fiesta 2014 Mtwara itafanyika Octoba 26, 2014 katika uwanja wa Nangwanda 

Mahojiano yote yalikuwa Live kupitia Radio ya watu "Clouds Fm"

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

Top