Unknown Unknown Author
Title: PICHA ZOTE ZA BIRTHDAY YA DIAMOND PLATNUMZ ZICHEKI HAPA, PALE GOLDEN JUBILEE JANA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Diomond Platnumz akiwa na mpenzi wake Wema Sepetu kwenye Red Carpet Golden Jubilee kwenye sherehe ya siku yake ya kuzaliwa Oct 2, 2014. ...
Diomond Platnumz akiwa na mpenzi wake Wema Sepetu kwenye Red Carpet Golden Jubilee kwenye sherehe ya siku yake ya kuzaliwa Oct 2, 2014.


Mahaba Niuwe: Wema Sepetu akimpeti peti Diamond wakiwa ndani ya mjengo wa Golden Jubilee kusherehekea siku ya kuzaliwa ya Diaomond Platnumz

Kwenye party hii management inayomsimamia Diamond ilimzawadia Diamond gari aina ya BMW ambayo inaonekana kwenye picha kama zawadi kwenye hii siku yake kubwa.


WAFUATAO PICHA ZA HAPA CHINI NI BAADHI YA WATU MASHUHURI WALIOWEZA KUHUDHURIA SHEREHE HIYO








About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top