Unknown Unknown Author
Title: TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA LINDI: KUHUSU MAUAJI YA MTU MMOJA WILAYANI NACHINGWEA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mnamo tarehe 04/10/2014saa  07:30 hrs huko mtaa majengo F kata/tarafa ya Nambambo (w)Nachingwea Mkoa wa Lindi ambapo  mtu mwanaume ambaye...
Mnamo tarehe 04/10/2014saa  07:30 hrs huko mtaa majengo F kata/tarafa ya Nambambo (w)Nachingwea Mkoa wa Lindi ambapo  mtu mwanaume ambaye amefahamika kwa jina moja la SIMON s/o ,anaekadiliwa kuwa na umri wa miaka 25?, mkazi wa kijiji cha Nangunde, kata ya Namikango, tarafa ya Lionja, Wilaya ya Nachingwea Mkoa wa Lindi alikutwa ameuawa na  kisha kuchomwa moto na wananchi waliojichukulia sheria mkononi baada ya kukurupushwa kwenye tukio la wizi, mwili wa marehemu uko hospitali ya Wilaya ya Nachingwea ukisubiri uchunguzi pindi ndugu zake watakapo jitokeza.
marehemu
Hakuna aliyekamatwa juhudi za kuwakamata watuhumiwa  zinaendelea.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top