Unknown Unknown Author
Title: BIG BROTHER; MTANZANIA ATOLEWA KWENYE JUMBA LA BIG BROTHER,
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Matumaini ambayo wengi wetu tulikuwa nayo kumuona mshiriki wa kutoka Afrika Mashariki Ndani ya Jumba la Big Brother Africa kuibuka na ush...
bba Hotshots
Matumaini ambayo wengi wetu tulikuwa nayo kumuona mshiriki wa kutoka Afrika Mashariki Ndani ya Jumba la Big Brother Africa kuibuka na ushindi, yameshuka kwa kiasi kikubwa baada ya washiriki kutoka nchi mbili za Afrika Mashariki kutolewa ya jumba hilo.

Wiki moja baada ya washiriki Lillian kutoka Nigeria, Esther kutoka Uganda na Sabina kutoka Kenya kutolewa kwenye mjengo huo, Mtanzania Laveda aliyekuwa na mahusiano ya karibu na Permithias pamoja na Mkenya Alusa wamekutana na ‘rungu’ la kura lililowatupa nje ya jumba hilo.

Laveda anakuwa mshiriki wa 6 wa jinsia ya kike kutolewa nje ya jumba la BBA huku Alusa akiwa ni mshiriki wa kwanza wa kiume kutolewa #BBAHotshots.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top