Unknown Unknown Author
Title: VPL:: SIMBA YATOKA SARE NA COASTAL UNION TAIFA, UWANJA WA TAIFA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Kikosi cha wachezaji wa Coastal Union kilichoanza katika mchezo wa leo Mshambuliaji wa Simba, Amissi Tambwe akijaribu kumtoka mche...
Kikosi cha wachezaji wa Coastal Union kilichoanza katika mchezo wa leo
Mshambuliaji wa Simba, Amissi Tambwe akijaribu kumtoka mchezaji wa Coastal Union


Mchezaji wa Coastal Union akimzuia mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi


Mashabiki wa Simba wa tawi la Mapambano wakishangilia timu yao katika mchezo wa leo


Wachezaji wa Simba wakimpongeza mfungaji wa bao la pili la timu hiyo mrundi Amissi Tambwe
(picha zote na Global Publisher)

TIMU ya Simba SC imekwenda sare ya mabao 2-2 na Coastal Union katika mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara iliyopigwa Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Mabao ya Simba yamefungwa na Shabani Kisiga na Amiss Tambwe huku ya Coastal Union yakiwekwa kimiani na Yayo Lutimba na Rama Salim.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top