ICHEKI VIDEO MPYA YA @iyanya - Mr OREO NI SHIIIDAAAA....!!!!

Mwanamuziki kutoka Nchini Nigeria akijulikana kwa jina la IYANYA heat maker wa single ya KUKERE ameweza kukonga nyoyo za mashabiki zake kwa kuachia Bonge ya Kichupa cha Wimbo wake mpya alioupa Jina Mr. OREO, Video hiyo imepokelewa kwa kasi ya ajabu hasa Baada ya Kuachiwa hapo jana Hadi sasa Imeweza Kutazamwa na Watu 25,170. Kupitia mtandao wa Youtube.
Hebu Itazame na we Hapa Chini.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post