DIAMOND PLATNUMZ KUMFANYIA BONGE LA PARTY DADA YAKE ESMAPLATNUM BAADA YA KUFUNGA NDOA NA PETITIMAN

Ni habari mpya ya mjini kwa sasa, ndoa ya Dada wa Diamond na kipenzi wa Wema petiti man wakuache, amabapo uhusiano wao ulioanza kama utani hatimae umezalisha kile amabacho wengi hawakukitegemea kama kingekuwa mapema hivi... Tunawatakia maisha mema ya ndoa na baraka tele.
Kuhusiana na Hilo Mdogo wa bibi harusi Msanii Diamond Platnumz ameahidi kumfanyia Bonge la Party ambayo itakuwa ya kihistoria hapa nchini, alibainisha jambo hilo kupitia Ukurasa wake wa Instagram kwa Kuandika Post yenye Maneno Haya::
Esma Platnum
Mwenyez mungu aendelee kukusmamia na kukuongoza katika kila la kheri na jema ulifanyalo.... Mdogo ako still niko mbali nahangaika na maisha... japo skuwepo lakini amini nafsi na roho yangu ilikuwepo... Get ready for your present, na History party!!! love you my beautiful & luvly sis💞 @esmaplatnum

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post