Unknown Unknown Author
Title: SERIKALI YATOA UFAFANUZI MALIPO YA MISHAHARA YA WATUMISHI YA MWEZI JULAI
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati alipokuwa akifafanua juu ya malipo ya mish...
Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba
Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati alipokuwa akifafanua juu ya malipo ya mishahara ya watumishi yaliyofanyika mwezi Julai mwaka huu leo jijini Dar es salaam ambapo ameonya mamlaka husika ziwe na taarifa sahihi za idadi ya watumishi ili kuondoa makosa ya kulipa mishahara hewa, endapo kutatokea makosa ya ulipaji wa mishahara hewa watachukuliwa hatua za kisheria na kufikishwa mahakamani.
Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba

(Picha zote na Eleuteri Mangi – MAELEZO)

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top