Unknown Unknown Author
Title: NIDA KATUNZI NDIYE MISS MTWARA 2014, CHEKI PICHA ZA TUKIO ZIMA HAPA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Nida Katunzi Miss Mtwara 2014 akiveshwa Taji hilo na Miss Mtwara 2013 ambaye muda wake ulifika mwisho hapo jana katika Ukumbi wa Makonde ...
Miss Mtwara 2014
Nida Katunzi Miss Mtwara 2014 akiveshwa Taji hilo na Miss Mtwara 2013 ambaye muda wake ulifika mwisho hapo jana katika Ukumbi wa Makonde Beach Mtwara.
Mshindi wa Taji la Miss Mtwara 2014 Nida Katunzi akiwa na washiriki wenzake walioingia katika tano Bora, Shindano hilo lilifanyika hapo jana Makonde Beach Mkoani Mtwara
Mkurugenzi Mtendaji wa Safari Media Group Ndg Petter Mbwago akifungua mashindano ya Miss Mtwara Ndani ya Makonde Beach Mkoani Mtwara.
Chief Jaji akitoa neno la ufunguzi wakati wa Kumtafuta mlimbwende wa Mtwara "Miss Mtwara 2014" katika ukumbi wa Makonde Beach Mjini Humo.

Na. Mwandish Wetu, Mtwara
Jana wakazi wa Mtwara waleweza Kushuhudia Kinyang'anyiro cha Kumtafuta Mlimbwende wa Mkoa Huo wa Mtwara, Shindano hilo lililofanyika Katika Maeneo ya Makonde Beach Mtwara majaji walikuwa na Kazi ya ziada kumteua Miss Mtwara kwani walimbwende hao walikuwa na Sifa zilizoshabihiana na walilembeka kisawa sawa. 
Miss Mtwara 2014
Lakini kama ilivyokuwa ada Shindano lolote lazima liwe na wakwanza na wa mwisho na hatimae Mshindi aliweza Kupatikana ambaye ni Nida Katunzi aliyetawazwa kuwa Miss Mtwara 2014 kuiwakilisha Mtwara kwenye Miss kanda ya Kusini, Mshindi wa pili Taji hilo lilikwenda kwa Lightnes Mziray na Mshindi wa Tatu aliweza kuibuka Mellabol Emannuel

Zawadi zilizotangazwa kutolewa kwa washindi ni Kama ifuatavyo: Mshindi wa Kwanza alipewa kiasi cha Tsh 300,000.00, Mshindi wa Pili aliweza kupokea kiasi cha Tsh 200,000.00 na Mshindi wa Tatu aliweza kupewa kiasi cha Tsh 100,000.00 na washiriki wengine waliweza kupewa kifuta jasho cha Tsh 50,000.00.

Hizi ni Baadhi ya Picha za matukio ya Shuhuri Nzima ya Kumsaka Mlimbwende Huyo::


Kwanza walimbwende waliingia na Vazi la Ubunifu
Miss Mtwara 2014

Miss Mtwara 2014

Miss Mtwara 2014

Miss Mtwara 2014

Miss Mtwara 2014

Miss Mtwara 2014

Miss Mtwara 2014

Miss Mtwara 2014
HAYA SASA TWENDE KAZI ...VAZI LA UFUKWENI...
Miss Mtwara 2014
 VAZI LA UFUKWENI NA VAZI LA JIONI
Miss Mtwara 2014

Miss Mtwara 2014

Miss Mtwara 2014

Miss Mtwara 2014

Miss Mtwara 2014

Miss Mtwara 2014

Miss Mtwara 2014

Miss Mtwara 2014
MAJAJI WAKAWA NA KAZI YA ZIADA YA KUTEUWA TANO BORA
Miss Mtwara 2014
SHOW ILIYOKUWEPO NI KUTOKA KWA MAKOMANDO WALIWEZA KUSHAMBULIA JUKWAA KINOMA NOMA
Miss Mtwara 2014
HAWA NI KATI YA WATAZAMAJI WALIOKONGWA VILIVYO NA SHOW HIYO HADI KUFIKIA KUPANDA JUU YA KITI NA KUANZA KUCHEZA KIBABA BABA
Miss Mtwara 2014
MA MC WALIOENDESHA SHUGHULI HIYO YA MISS MTWARA 2014
UKAFIKA WAKATI WA KUWATAMBUA TANO BORA YA MISS MTWARA 2014
Miss Mtwara 2014
MISS MTWARA 2013 AKIWA AMEKETI KATIKA KITI CHA ENZI TAYARI KUKABIDHI TAJI KWA MSHINDI ATAKAYE PATIKANA
Miss Mtwara 2014
KIPINDI CHA MASWALI NA MAJIBU KILIWADIA NA HATIMAE KUTANGAZWA WASHINDI WATATU, WAPILI NA WAKWANZA
Miss Mtwara 2014

Miss Mtwara 2014

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top