Unknown Unknown Author
Title: BREAKING NEWS:- MAMA MZAZI WA ZITTO KABWE AFARIKI DUNIA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mbunge wa Kigoma Kaskazini mhe. Zitto Kabwe akiwa na Mama yake Bi. Shida Salum, Enzi za Uhai wake. Mhe. Zitto, kupitia mtandao wa Twitte...
Mh. Zitto kabwe
Mbunge wa Kigoma Kaskazini mhe. Zitto Kabwe akiwa na Mama yake Bi. Shida Salum, Enzi za Uhai wake. Mhe. Zitto, kupitia mtandao wa Twitter ameandika kuwa Mama amefariki Dunia Leo.
Mh. Zitto kabwe

Mh. Jakaya Kikwete na Mama Zitto
Hii ni May 25 2014 wakati Rais Kikwete alipomtembelea mama Zitto ICU kwenye hospitali ya AMI Dar es salaam. (picha ilipigwa na Freddy Maro)

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top