Unknown Unknown Author
Title: 2014 CECAFA NILE BASIN CUP: MBEYA CITY NJE, KWA TUTA!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
MBEYA CITY wametolewa nje ya Mashindano ya 2014 CECAFA NILE BASIN CUP baada kufungwa na Victoria University 1-0 kwa Penati kwenye Mechi ...
mbeya city

MBEYA CITY wametolewa nje ya Mashindano ya 2014 CECAFA NILE BASIN CUP baada kufungwa na Victoria University 1-0 kwa Penati kwenye Mechi ya Robo Fainali huko Khartoum Stadium hii Leo.
Penati hiyo ilitolewa Dakika ya 74 na pia Mbeya City kumaliza Mtu 10 baada ya Kibopile Hamad kutolewa kwa Kadi Nyekundu.
Victoria University ya Uganda watacheza na Mshindi wa Ahly Shandi Vs Malakia kwenye Nusu Fainali.

NUSU FAINALI
Jumatano Juni 2
[20]. AFC Leopards Vs AcademieTchite
[21]. Victoria University Vs Mshindi 19
Jumatano Juni 4
Mshindi wa Tatu
[22]. Aliefungwa 20 Vs Aliefungwa 21
FAINALI
[23] Mshindi 20 Vs Mshindi 21

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top