Miss Tabata 2014, Ambasia Maliy akipunga mkono kwa mashabiki wake muda mfupi baada ya kutawazwa rasmi kuwa Mrembo wa Kitongoji cha Tabata, Shindano hilo lilifanyika kwenye Ukumbi wa Da'west Park,Tabata jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia jumamosi.Wengine pichani ni Mshindi wa Pili wa shindano hilo, Faudhia Feka (kulia) pamoja na Mshindi wa Tatu, Ramta Mkadara .
Miss Tabata aliemaliza muda wake, Doris Molel (alieketi) akisuburi kutangazwa kwa mrithi wake.
Warembo walioingia hatua ya tano bora katika Shindano la Miss Tabata 2014
Kumi Bora.
Warembo wakitoa burudani
Bendi ya Twanga Pepeta ikitoa burudani kwenye shindano la miss Tabata lililofanyika kwenye usiku wa kuamkia leo
Mshereheshaji akizungumza jambo
Warembo wakiwa wamevaa vazi la ufukweni
Warembo wakitoa burudani
Majaji wakifanalaizi mambo.
Jaji wa Missi Tabata 2014, Le Mutuzzz akiwataja warmbo kumi bora na pia aliwataja tano bora
Washindi wa Miss Ukonga nao walikuja kuonesha ya kwao
Maswali yakiulizwa kwa Warembo
Miss Talent 2014 alichukua Faudhia Feka
Miss Discipline alichukua, Nuru Omary
Miss Tabata aliemaliza muda wake, Doris Molel (alieketi) akisuburi kutangazwa kwa mrithi wake.
Aliyekuwa Miss Tabata 2013, Doris Molel akimvisha Sasha mshindi wa Miss Tabata 2014, Ambasia Maliy.
Wadau waliofika kutizama Miss Tabata 2014
PICHA NA PAMOJA BLOG
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.