VIDEO:: HIVI NDIVYO DIAMOND PLATNUMZ ALIVYOWAPAGAWISHA WAKAZI WA MTWARA KWENYE SHOW YAKE YA "HEALS AND TIES"

diamond platnumz
Diamond akitoa burudani kwa wakazi wa Mtwara katika ukumbi wa Makonde Beach.

Msanii anayeongoza katika Kinyang'anyiro cha Tuzo za KORA MUSIC AWARDS katika TOP 20 katika Wiki ya 17 Kutoka Tanzinia hapa Namzungumzia @Diamond Platnumz , Wiki iliyo pita aliweza Kufanya Show Kubwa Mkoani Mtwara na Kushuhudiwa na watu Wengi na Kuandika Historia Nyingine awapo Mkoani Humo kwani watu walijazana Ile mbaya na Kuweza Kusababisha Misukumano ya Hapa na Pale.
Kama ilivyo Ada ya Msanii huyo awapo Jukwaani Huwa anawatendea haki Fans wake wa kuwapa Burudani wanayostahili kutokana na Kiingilio walichotoa. Katika Show hiyo Kivutia Kikubwa kilikuwa Pale alipo imba Wimbo wa Muziki Gani ambao aliimba pamoja Na Fans wake wa Mkoani humo na Kuonesha Kuukabilivilivyo wimbo huo Hasa zile verse za Ney wa Mitego na Kusababisha Kuamsha Shangwe Nyingi Sana za Wakazi wa Mtwara walio Hudhuria Show Hiyo.

Sitaki Kumaliza Uhondo Wote Hebu Jionee Mwenyewe katika video Hii hapa::

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post