TANYA AIGIZA AKIWA MTUPU KWENYE SCENE YA "HOUSE OF LUNGULA"

Mwanadada Tanya kutoka Kenya ameigiza akiwa utupu kwenye tangazao la vichekesho vya mapenzi nchini Kenya, vijulikanavyo kama HOUSE OF LUNGULA.... Tangazo hilo kwasasa limeshapigwa marufuku kuonyeshwa kwenye TV za Kenya.

Kwasasa tangazo hilo linapatikana YOUTUBE ambapo ni zaidi ya watu laki moja hulitazama kila baada ya muda mfupi.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post