Unknown Unknown Author
Title: RACHEL HAULE WA BONGO MOVIE KUZIKWA SONGEA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Sekta ya bongo movie imepoteza jembe lingine rachel haule, aliyefariki Jana asubuhi kutokana complication zilizotokea juzi usiku baada ya...
rachel haule
Sekta ya bongo movie imepoteza jembe lingine rachel haule, aliyefariki Jana asubuhi kutokana complication zilizotokea juzi usiku baada ya kujifungua kwa operation, mtoto akafariki na rachel akalazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi, ilipofika asubuhi ya Jana Rachel Haule akaaga dunia.

Amewahi kucheza filamu nyingi kama: Siku za majaribu, mtihani, na movie za odama chini ya Kampuni J film for life, na filamu ya hivi karibuni kucheza ilikua Vanesa in Dillema.

Jana asubuhi wasanii wa bongo walikutana pale Leaders club pamoja na maelezo kutoka kwa ndugu wa marehemu ikaamuliwa kuwa mwili wa Recho Haule utasafirishwa kwa ajili ya maziko pamoja na mwili wa mtoto wake mchanga aliyefariki kuelekea Songea ambako kuna bibi yake pamoja na mtoto wake mkubwa, wazazi wa Recho Haule walifariki siku nyingi zilizopita.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top