Unknown Unknown Author
Title: PIGO KWA MANCHESTER UNITED MMILIKI WA TIMU AFARIKI
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Malcolm Glazer aliyefariki akiwa na miaka 85. MMILIKI wa timu ya Manchester United, Malcolm Glazer, amefariki dunia akiwa na umri wa mi...
Malcolm Glazer
Malcolm Glazer aliyefariki akiwa na miaka 85.
MMILIKI wa timu ya Manchester United, Malcolm Glazer, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 85. Amefariki akiwa nyumbani kwake Marekani.
Glazer aliinunua klabu hiyo mwaka 2005 kwa pauni milioni 790 sawa na shilingi trioni 2.2 na akashuhudia timu hiyo ikipata mafanikio kadhaa ikiwemo kutwaa Kombe la Klabu Bingwa Ulaya na ya Ligi Kuu ya England.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top