Unknown Unknown Author
Title: IRENE UWOYA AZIMIA WAKATI WA KUMUAGA NDUGU YETU RACHEL HAULE - R.I.P
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Its really SAD!!! Hapo ni nyumbani kwa kina Rachel Haule.. lakini kwasasa Tuko Leaders ambapo ibada na misa ya kumuombea Marehemu pamoja ...
Jeneza la Rachel haule
Its really SAD!!! Hapo ni nyumbani kwa kina Rachel Haule.. lakini kwasasa Tuko Leaders ambapo ibada na misa ya kumuombea Marehemu pamoja na mwanae inaendelea.. na baada ya hapa mwili wa marehemu utaagwa kisha kwenda kupumzishwa katika makaburi ya Kinondoni!!! Hao ni baadhi ya wasichana wenzake wa BONGO MOVIE wakiwa mbele ya mwili wa marehemu!!!!
Iren uwoya azimia msiba wa rachel haule
Wakati shughuli za mazishi zinaendelea... IRENE UWOYA Azimia...
Jeneza la Recho Hauke

Msiba wa Rachel Haule
TAZAMA VIDEO HAPA

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top