Unknown Unknown Author
Title: KUTOKA BUNGENI DODOMA LEO
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Madiwani na Watendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga kwenye ukumbi wa Sp...
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Madiwani na Watendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga kwenye ukumbi wa Spika .Bungeni mjini Dodoma Mei 27, 2014.Walitembelea Bunge kwa mwaliko wa Mbunge wao, Suleiman Nchambi

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Maswa Mashariki , John Shibuda kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifurahia jambo katika mazungumzo kati yake na Mbunge wa Moshi Vijijini, Cyrli Chami kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mwandishi wa habari mkongwe, Prince Bagenda kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma. Picha na PMO

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top