Akiwa Ndani ya Safari Radio 89.9 FM Mtwara, Msanii Diamond Platnumz amezungumzia na Kuweka wazi Gharama ya Utengenezwaji wa Video ya wimbo wa My Number one Rmx na jinsi alivyokutana na Davido na Kumshirikisha Nyimbo hiyo na Kumletea mafanikio makubwa na Heshima pia kwa Kuchukua Tuzo Saba za KTMA 2014.
Bofya Kitufe cha Kuplay umsikilize Mwenyewe akifunguka:
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.